DOWNLOAD TECH HOUSE – HOUSE – TECHNO – DEEP HOUSE – INDIE DANCE / NU DISCO – DUBSTEP – ELECTRONICA – 300 EXCLUSIVE WAV TRACKS

Black Atlass – Haunted Paradise Remixes

Augusto Gagliardi & Maimex – Hypnotic Night

Mystery Girl – Studio 77

MAJINA YA WASHINDI WA TUZO Za EATV 2016 #EATvAwards2016

List ya washindi wote wa EATV Award
1. Kipengele cha tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume 2016 kimekwenda kwa Ali Kiba.
2. Wimbo wa Aje wa Ali Kiba umeshinda tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka 2016.
3. Video ya wimbo wa Aje ya Ali Kiba imeshinda tuzo ya Video Bora ya Mwaka 2016.
4. Kipengele cha tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike 2016 kimekwenda kwa Lady Jay Dee.
5. Tuzo ya Heshima inayotolewa kwa Mtu/taasisi yenye mchango mkubwa katika sanaa ya Tanzania inakwenda kwa Dj Bonny Love.
6. Tuzo ya Filamu Bora ya Mwaka 2016 imekwenda kwa filamu ya Safari ya Gwalu ya Gabo Zigamba.
7. Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kiume 2016 inakwenda kwa mwigizaji Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba.
8. Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike 2016 inakwenda kwa mwigizaji Chuchu Hans.
9. Navy Kenzo wameshinda tuzo ya Kundi Bora la Muziki 2016.
10. Mwanamuziki Man Fongo ameshinda tuzo ya Mwanamuziki Bora Chipukizi 2016.
Read more...